Jarida la Mbiu kuu kutolewa katika 'SOFT COPY'

1 year 4 months ago #5 by Kinyunyu
Hasa katika kipindi cha kuipromote website itakuwa vyema jarida la mbiu kuu kutolewa katika soft copy ili kuwezesha watu kupata kwa urahisi zaidi na hivyo kuongeza visitors wa hii website kwani wengi watahitaji kulipata

Please Log in to join the conversation.

1 year 4 months ago #6 by sautikuu
Ni vyema kabisa kulitoa kwa soft copy. Baadhi ya matoleo ya nyuma yatatoka mazima, ila ya karibuni yatatoka sehemu tunazochagua tu ili tusizuie kabisa watu kuyapata yakiwa hard copy.

Please Log in to join the conversation.

1 year 3 months ago - 1 year 3 months ago #7 by sautikuu
Wapendwa toleo la mwezi September tayari liko sokoni. Mmeliona? Usifanye kulikosa tafadhali.

Please Log in to join the conversation.

Time to create page: 0.193 seconds