Current Issue

 

 
 
 
 
×

Warning

JUser: :_load: Unable to load user with ID: 886

Latest News & Events

Uwezo wa Kuchagua na Kuamua

Written by
on 31 Aug 2016

Moja ya zawadi kubwa Mungu aliyotupa wanadamu ni uwezo wa kuchagua na kuamua tutakacho. Hali hii hututofautisha na wanyama ambao hufanya yale wafanyayo kwa kuitikia silika (instincts) walizonazo tu. Hawawezi kufikiri na kuchagua kuamua mambo ili labda wapate maendeleo fulani. Ndio maana wote hufanana katika kile wafanyacho na hawaendelei kimaisha. Lakini mwanadamu ni tofauti. Yeye ana akili, na utashi unaomwezesha kuchagua na kuamua atakalo kulifanya kwa faida yake na wengine. Tofauti na mnyama,...

Hofu, Shimo, na Mtego Vinakuja

Written byFreedom Richard
on 14 Apr 2017
Hofu, Shimo, na Mtego Vinakuja

Moja ya mipaka tuliyo nayo wanadamu ni kutofahamu kwa uhakika yatakayojiri wakati ujao. Jinsi gani wataalamu wa mipango wanatamani kama wangeweza kuchungulia mbele ili waweze kupanga mambo ya miaka ijayo leo! Mtu anapokwenda stendi ya mabasi ili kusafiri, angelijua kama basi analopanda litapata ajali itakayomuua au kumfanya kilema asingelipanda. Bwana au bibi arusi angemwacha mchumba wake mara moja hata kama anampenda kama moyo wake mwenyewe, kama tu angeweza kuona mbele katika safari ya ndoa y...

Unajitambulishaje kwa Ulimwengu?

Written by
on 26 Jul 2016
Unajitambulishaje kwa Ulimwengu?

Utambulisho ni kitu muhimu sana. Watu huhusiana na wenzao na kuwatendea kulingana na wanavyowatambua. Kama wakikutambua kama mtu mwenye staha, mwadilifu, mwema na mambo kama hayo watakuheshimu. Wakikuona au hata kukudhania tu kama mtu mwongo, tapeli, watakudharau na kuepukana na wewe. Kumbe basi namna unavyojitambulisha kwa watu ni muhimu mno.

Dk. Besigye na hatari ya kuwa rafiki wa Rais mtarajiwa - Kampala, Uganda

Written bySuper User
on 19 Jul 2016
Dk. Besigye na hatari ya kuwa rafiki wa Rais mtarajiwa - Kampala, Uganda

UN yataka aachiwe haraka Polisi wasema ni mhaini hatari Kuna usemi mashuhuri usemao, “Tenda wema uende zako ukingonja shukrani yatakufika makubwa”! Naam pengine swahiba wa zamani wa Rais Yoweri Kaguta Museven, Dk. Kizza Besigye, aliudharau usemi huo, lakini sasa anaukumbuka akiwa nyuma ya nondo za gereza lenye ulinzi mkali na hatima ya kesho yake ikitegemea hekima ya majaji na shinikizo kutoka nje.

China yaipiku Marekani kwa kompyuta bora

Written bySuper User
on 19 Jul 2016
China yaipiku Marekani kwa kompyuta bora

Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa hivi karibuni zaidi, China ina kompyuta bora na yenye nguvu zaidi duniani inayojulikana kama 93 petaflop Sunway TaihuLight, ambayo imeshinda zile zilizokuwa zikisifika huko nyuma zilizobuniwa Marekani. Orodha hiyo inaonesha kuwa kompyuta ya TaihuLight imewekwa katika ofisi za National Supercomputing, iliyoko Wuxi, katika kilele chake, kompyuta hii anaweza kufanya karibu mahesabu trilioni China yaipiku Marekani kwa kompyuta bora 93,000 kwa sekunde. Kompyuta hiyo i...

Tips & Knowledge

31 Aug, 2016
1006
1.0 Utangulizi Hakuna taasisi itakayofanya kazi vizuri bila kuwa na uongozi bora. Uongozi ndio chanzo cha mafanikio yote yanayopatikana katika jamii, taasisi, kampuni, chama, au katika chombo ...
Hide Main content block